Saturday, October 13, 2007

Siku za sikukuu kama hizi ni muda wa watoto kutembea na kula wanachopenda

Ebwana watoto hawa walibeba pilau Niliwakuta maeneo ya koko beach
Mambo ya idd hayo watoto wakila na kucheza
Bahada ya takribani siku 30 za kushinda bila kula Leo ni ruksa Wastadhi niliwakuta koko beach
Mambo ya chips kuku Jamaa bize na msosi leo koko beach

Watoto Wajanja wa Kariakoo wakitembea kuenjoy siku-kuu


Nilikutana na vijana wa kesho mitaa ya fire nami nikawatakia eid day njema

Kwa nini nimewaita wajanja? Nilipotaka kuwanunulia azam wao wakasema niwape cash!

Friday, October 12, 2007

Ukiwakumbuka yatima Basi wewe ni wale wachache wenye hekima

Unapowakumbuka yatima wakati wa sikuku kama hizi wanafarajika mno

Huyu kiongozi wa kidini akitoa zawadi kwa watoto yatima
Hapa akiwa katika picha na watoto kwani hata kama kidogo lakini upendo wamepata
Ni wachache wenye moyo kama huuu

Wapinzani Tupeni jicho lenu kwenye kampeni za uchaguzi kenya















Wednesday, October 10, 2007

Nyongeza ni ndogo kwa kila mfanyakazi si kwa wachache!

Mhhhhh Tabasam lenye mvuto kwa mtangazaji mwenye kujua kazi yake







Tuesday, October 9, 2007

Blogging for the Environment


Blogging for the Environment



October 15, a week from today, is Blog Action Day, and the theme this year is the environment. If you have a blog and want to join in, all you have to do is use that day to post something related to the environment, in whatever way, shape, or form you prefer. You can pick an environmental issue that has meaning for you and let us know why it's important. Organize a beach or neighborhood cleanup and tell us about it. If you're into fiction writing, give us a story with an environmental theme. Have a podcast, videoblog, or photoblog? Join the fun! The idea here is to have a mass effect on public awareness by sharing as many ideas in as many ways as possible.If you're game for participating, go register your blog with the 7,000+ other blogs (with 5 million readers!) that are already signed up. Also, see the Blog Action Day blog for more on how bloggers can change the world.




On October 15th, bloggers around the web will unite to put a single important issue on everyone’s mind - the environment. Every blogger will post about the environment in their own way and relating to their own topic. Our aim is to get everyone talking towards a better future.
Blog Action Day is about MASS participation. That means we need you! Here are 3 ways to participate:

Watoto ni watoto na kila mmoja kapitia utoto




Kupanda kwa mishahara ni one step kwa liserikali









Posted by Picasa

Monday, October 8, 2007

Upinzani wajijenge wapate wapiga vote na si kupambana na liserikali









Posted by Picasa

Sunday, October 7, 2007

Hili ndilo kabumbu ndugu yanguuuu wewe unasemaje!




Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu