Saturday, August 18, 2007

nisaidie kitu kimoja ni nani hawa?





Ndugu msomaji Hizi picha kutoka juu ni wakina nani na wanafanya vituo gani?
Posted by Picasa

Friday, August 17, 2007

UNAMUONAJE HOYU BIBIE MTANGAZAJI WA NATION TV KENYA

Posted by Picasa

Thursday, August 16, 2007

FIESTA SHANGWE BODA 2 BODA WEWE WAPE MASHAVU

Posted by Picasa

FIESTA SHANGWE BODA 2 BODA 2007


FIESTA 2007 SHANGWE BODA 2 BODA DAR :: Tamasha hilo ambalo huadhimishwa kila mwaka safari hii limekuja tofauti na miaka iliyopita ambapo safari hii shangwe hizo zinatarajiwa kuchana mpaka katika boda za Kenya na Uganda, hii inaonesha dhahiri kuwa waandaaji wana nia nzuri katika kuupanua uwigo wa sanaa na burudani kwa ujumla nchini]“Mpaka sasa jiji la Mwanza wanajua nini maana ya fiesta boda 2 boda kwani tayari wamesha jionea mambo yaliofanyikaKwa mara ya kwanza jijini Mwanza mtu mzima Koffie ‘Mopao’ Olomide alipiga bonge la Show jijini humo akiambatana na kikosi chake kipya cha maangamizi, pamoja na wasanii kama DNA kutoka nchini Kenya, Ngoni kutoka Uganda, Tamasha la Fiesta 2007 Shangwe Boda 2 Boda limeandaliwa na kampuni ya Prime Time Promotion na kudhaminiwa na kampuni ya Straight Music, ilifanyika jijini Mwanza katika ukumbi wa Yatch Club tarehe 10 mwezi huu na onesho lingine likafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 12 .Jijini Bongo tarehe 18 na baada ya hapo misele ya kuzipeleka shangwe hizo katika mikoa kama Morogoro, Arusha, Mbeya, Dodoma, Tanga na Zanzibar itaendelea kama kawa. Posted by Picasa

ZE COMEDIANS WA BONGO WAPO JUU KATIKA FANI




Click picha kupata picha kubwa
Posted by Picasa

WABONGO WAKIWA KAZINI SI MCHEZO SEHEMU NNE KWENYE PICHA



uNASEMAJE wAJAMENI
Posted by Picasa

NDIO UKWELI WENYEWE WANANGOJEA MPAKA AMALIZE NDIO WABOMOE SI MNAKUMBUKA HILO CHINI

  • Click photo kupata photo kubwa Yote haya ni Masaki si mnakumbuka yaliyotokea katika jengo hilo Basi kuna mwingine mbele yake anajenga kashafika ya nne na nondo za kupeleka nyinginezipo mmmmm makubwa haya wewe unasemaje mshirika!
Posted by Picasa

Wednesday, August 15, 2007

ZITO KABWE NA SIASA ZA TANZANIA JE TUTAFIKA KWELI?


click picha kupata picha kubwa
Jamani nafikiri Bunge linataka kuchochea moto kwa Gesi ya Songo songo
Nikimnukuu Mwanasheria mmoja aliyekuwa katika kipindi cha Pambanua
'kuwa kutokana na sheria za bunge letu ilitakiwa kabwe asiuzurie vikao vitano tu" Sasa yule
mweshimiwa sana Sita ametoa wapi! hiyo hadhabu ya mpaka january Mimi sisemi
teta wewe kwenye maoni Kwani Kabwe ni kijana Mwenzetu Hawa wazee bado woko kimwaka 47

Posted by Picasa

Tuesday, August 14, 2007

NAOMBENI KURA ZENU-A.Y

click kwenye picha kupata picha kubwa

http://www.ay.co.tz/index.php
Tukirejea katika habari zitolewazo na mtandao huu,habari ya tarehe 13 Julai 2007 yenye kichwa cha habari “USIJARIBU YA A.Y KUWANIA TUZO ZA KISIMA” sasa muda wa kupiga kura umewadia.Kwa mujibu wa maelezo ya A.Y ni kuwa kwa kipindi hiki amepewa maelekezo ya jinsi ya kupiga kura ukiwa nchini Kenya.Na kwa wale ambao wako nje ya nchi ya Kenya watapewa maelezo mapema iwezekanavyo.
“Mwimbo wangu wa USIJARIBU umechaguliwa kushindaniwa katika categories mbili…BEST SONG TANZANIA na BEST VIDEO TANZANIA katika KISIMA MUSIC AWARDS ya nchini KENYA,Kwa mashabiki wangu wote walio ndani ya Kenya nawaomba wajitokeze kwa wingi kwa kunipigia kura tuweze kuchukua tuzo hizo.
Ukitaka kunipigia kura kwa njia ya simu ya mkononi andika kwenye sms KISIMA 16a kisha tuma katika namba 8001 hapo utakuwa umeichagua USIJARIBU kuwa the best song toka Tanzania. Pia andika KISIMA 17b kisha tuma katika namba 8001 hapo utakuwa umeichagua USIJARIBU kuwa the best video kutoka TANZANIA.Najua siku zote hamniangushi katika kila jambo tunalolifanya kwa ushirikiano.
Na kwa wale washabiki wangu wa nchi yangu TANZANIA na majirani zetu UGANDA,BURUNDI na RWANDA na wengine ambao mpo popote duniani pia nitawapa maelekezo ya jinsi ya kupiga kura kwa kutumia website.Nasubiri maelekezo ya waandaaji wa Tuzo hizo,ASANTENI SANA NA NAUHESHIMU SANA NA KUUTHAMINI SANA MCHANGO WENU. Alimalizia A.Y katika maelezo yake kwa washabiki wake kupitia vyombo vya habari.

SALAMA KAMA SALAMA NA PLANET BONGO



Posted by Picasa

Sunday, August 12, 2007

JIJI LA MKUU WA MKOA ALIYEAMUA KUPUNGUZA BIASHARA UCHWARA


Pilikapilika za katikati ya JIJI Hapa Askari Mgambo wa jiji wakiwakamata vijana wanaokiuka amri sahihi za jiji za
kutofanya biahara katikati ya ajiji. Mkuu huyo wa mkoa huu ambaye yuko fiti katika kuliweka hili jiji katika ubora
wa kimataifa

Posted by Picasa

KITUO CHA WATOTO YATIMA JE TUNAWAKUMBUKA ?


Je Watanzania Tunawatembelea Watoto yatima na kuwapa ushirikiano katika maisha yao??
Angalia Hawa watoto Toka wapi sijui? Waliamua kuchukua siku ya jumapili yao Kuwatembelea watoto wenzao!
kuwapa wenzao faraja ambayo Mwenyezi Mungu anayopenda sisi kutenda, jaribu kufikiria Mara nyingi Jaribu kuwasaidia watoto yatima popote walipo na mwenyezi Mungu atakulipa siku moja

Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu